WAKATI TUKIOMBOLEZA VIFO VYA WASANII WALIOFARIKI, TUMUOMBEE PIA MZEE MAJUTO...
Kila mtu ana namna yake ya kupokea taarifa za msiba! Mzee Majuto amezipokea taarifa za msiba wa Sharo milionea kwa mshtuko mkubwa, nadhani ni kwa vile alikuwa akifanya kazi mara nyingi na marehemu! Presha yake imepanda, mmoja wa watoto wake pamoja na mkewe wanahangaika kwa zamu kumuuguza ili hali yake iweze kurejea kawaida. Tumuombee jamani manake dah!
Comments