BEYOCE MJAMZITO!!
Katika Red Carpet ya tuzo za VMA, Beyonce aliwaambia mashabiki pamoja na wapiga picha kuwa ana suprise yao huku akilishika tumbo lake, na bila maelezo, picha halisi ikaonekana!!!
Ameelezea furaha yake kwa kusema "ni kweli sasa mimi ni mjamzito" kwani huko nyuma yalikuwa yanavumishwa tu na haikuwa kweli. Mara nyingi alikuwa akisema katika umri wake wa miaka 30 atakuwa na mtoto, na kweli yatatokea kwani Sept 4 mwaka huu ndo kwanza atakuwa anatimiza umri huo.
Kila mtu ana maoni yake, ila kuna ambayo kiukweli ni full vituko.Hawa ni wachangiaji wa majuu kuhusu habari hizo za Beyoce na Jay-Z!! Ni za kizungu but zinaeleweka freshhhhh

I LOVE Jay-Z....but I really hope the baby will look like her...she's beautifu!! ;)
))
I'm glad she actually waited as long as she did. Some famous singers don't wait, just have them whenever they want.
))
Too bad her husband is so horrendously ugly. Let's hope they have a boy and not a poor girl who looks like her dad.
))
thats gonna be one ugly baby!!!
))
Awh , their baby is going to be CUTE[':
))
their baby will have serious talent
))
Go Jay-z I wish you the best of fatherhood
))
I hope it looks like Beyonce. Jay Z is f**ugly..talented and brilliant..but f**ugly
))
Comments