Kwa wale wapenzi wa filamu za ki-nigeria..Sam Loco Efe hatunaye duniani tena!!

Amefariki jana katika chumba cha hoteli aliyofikia, katika maandalizi ya filamu mpya aliyokuwa ameshiriki!!
Amefariki akiwa na umri wa miaka 66, huku akiacha majonzi ya wapenzi wa filamu Afrika, hasa kwa vituko vyake vingi na uwezo wa kuuvaa uhusika katika filamu. Mungu alaze roho yake mahali pema peponi Amen!

Comments

Popular Posts