Sheria 10 za kuvunjwa ukiwa katika ndoa!

Ukizungumzia ndoa, kuna mengi tunayofunzwa kabla na kuna mengine tunayakuta hukohuko tukiwa ndani tayari.Ila watafiti wanasema kwamba si kila kitu kinapaswa kufuatwa eti tu kwa kuhofia ndoa kutetereka.Wakati mwingine ndoa inatakiwa iwe na mabonde na milima, na hiyo haimaanishi kwamba ndio mambo yatawaednea kombo. Nahusisha ya wataalamu na msemo huu..Asiekubali kushindwa si mshindani..
Usitarajie wala kuwaza kuwa ndoa inatakiwa kila siku iwe tambarare pasipo ugomvi kiasi (bila matusi makali), kutokubalina katika jambo Fulani, na wakati mwingine kutofautiana katika muyapendayo!!
Hizi ni sheria kumi ambazo wanandoa wanashauriwa kuzivunja kwa mujibu wa watafiti!!

Zisome halafu zigeuze kimaana in their opposite way!!
1.    Kutolala ukiwa na hasira
2.    Kuwa mwaminifu asilimia 100
3.    Kuongozana katika kila safari
4.    Kukwaruzana kutasababisha ndoa kuvunjika
5.    Kuweka watoto mbele katika kila maongezi yenu.
6.    Hamtakiwi kulala katika vitanda tofauti.
7.    Kutofanya yanayokuvutia ili umfurahishe mumeo
8.    Kuamini kuwa hamtokaa mchokane.
9.    Kukosa au kukoseshana raha ni kubaya
10.              Ni lazima kushiriki tendo la ndoa ili kumfurahisha mwenzi wako

JK..

Comments

Popular Posts