WANANDOA WILL SIMTH NA JADA PINKET WAKANUSHA UVUMI WA KUTALIKIANA!!!!
Kuna uvumi ulizuka juzi kuwa wawili hao wameachana, lakini wamezungumzia uvumi huo kwa kubainisha kuwa wako gado, mapenzi motomoto!!
Wana ndoa hawa wameishi miaka 13 toka waoane mwaka 1997, na wamejaaliwa kupata watoto wawili japo Will Smith ana mtoto mwingine mkubwa aliyempata katika ndoa yake ya kwanza iliyovunjika mwaka 1995.
Mi mwenyewe nilipigwa na butwaa nilivyosoma huo uvumi coz huwa nawa-admire kwa jinsi walivyoshibana na kushirikiana! Mungu awaepushie mabaya, wawalee watoto wao ambao tayari wameonyesha uwezo wa vipaji vya level za juu!!

Comments