DUH! BEYONCE ASHINDWA KUWABAMBA MASHABIKI, RIHANNA NG`ARING`ARI!!!

Maonyesho ya mavazi ya Met Ball yaliyofanyika juzi huko Marekani, Beyonce ameelezewa kutobamba kabisa licha ya umbo lake la mvuto na nguo aliyovaa iliyobuniwa na Givenchy Haute Couture.


Rihanna ambaye pia huwa anasubiriwa kwa hamu katika NITOKE VIPI ndo akaonekana kuwavutia wapiga picha na vazi waliloliita la heshima kuliko yote aliyowahi kuvaa.




Walishiriki masuper star wengi kama Alicia Keys, Jessica Parker,Emma Stone,Eva Mendez na wengineo!!

Comments

Popular Posts