Kwa wanaotazama tazama movie, huyu dada si mgeni kwao. Ameanza uigizaji akiwa mdogo na matunda yake ameanza kuyafaidi mapema! Twilight hata niingalie mara tatu kwa siku sitakaa niichoke..waigizaji(Bella,Edward na Jacob) wameuvaa uhusika inavyotakiwa! Kama bado hujaiona, isake na utanielewa!
Comments