Baada ya kesi ya kupinga matokeo ya ushindi wa Mbunge John Mnyika wa CHADEMA, hatimaye mahakama imehalalisha kuwa Mnyika ni mbunge halali wa jimbo hilo. Mnyika alifunguliwa kesi hiyo na aliyekuwa mpinzani wake katika uchaguzi mkuu uliopita Bi. Hawa Ng`umbi wa CCM...
Comments