Bw. Iddi Simba ni Waziri wa zamani wa Viwanda na Biashara katika serikali ya tatu, ambapo amefikishwa mahakama ya Kisutu kwa tuhuma za kughushi na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu ulioisababisha UDA hasara ya zaidi ya shilingi Bilioni mbili....
Comments