NINAOWAKERA POLENIIII!!!
Hivi mtu ukitulia bila maneno na mtu halafu mwingine anachomoka from kusikojulikana na kukumwagia maneno ya kipuuzi unamfanyajeeeee! I was born to be who i am today....so hamnitishi wala kunikarahisha...ndo kwanza maisha yanasongaaaa
ooh sina miguu, ooh sura imekaaje! kama we unajiamini si utokelezee mbele za watu?? Thubutu tukuone...
Naipenda kazi yangu, na kama kinakukera..utakerekwa sanaaaaa...Kwa kuitazama Clouds Tv tunakushukuru, na kwa kunitazama nikikupa news nakushukuru, ukiendelea kukerekwa kunywa maji ya ndimu yakuchachue zaidi....
ooh sina nywele, na hizo je? we unazo? ukitaka tushindane toa nywele ulizobandika na makope yako ya kichina tuone!!
The Simple me.....
Ila nawashkuru kwa kuichungulia chungulia blog...you know how haters wanavyomfanya mtu awe....
Maneno maneno sipendelei, kama unataka mistari zaidi, waskilize Sikinde Ngoma ya ukae utaipata habari yako...Jackie is here to stay no matter what...nipende au nichukie, kazi ni kwakoooo...

Kwa wale wapenzi na haters, blog hii imerudi hewanu kukuhudumia katika matukio mbalimbali ya ndani na nje ya nchi. Nakutakia weekend njema isiyo na stress za mawazo juu ya maisha yangu...huwezi kuwa mimi kamwe na sitokaa niwe wewe!
Comments