HAKUNA KITU KIZURI KAMA MWANAMMKE KUJIAMINI!!!

Mara nyingi nimekuwa nikipitia comments nikitafuta tu we dada unanitafutia nini mpaka utukane matusi yako ukinisakama na issues kibao ambazo hata hazinihusu.Na ukumbuke msemo wa UKWELI UNAUUMA. Maadam hayakunihusu, sikuumia zaidi ya kukuonea huruma na kutojiamini kwako! Mtafute anaekuchukulia huyo boyfriend wako na sii mimi. Tena ningekuona wa maana kama ungenitafuta tuonane uso kwa uso uninyambuuuue mpaka utosheke..na ingekua vizuri ukija na huyo kidume anaekupa presha kiasi hicho eti anachukuliwa na mimi. Jiamini mwanammke, manake hizo kesi unazonisukumia kuhusu bf wako mwishowe atazichoka na yeye ndo aondoke jumla kutafuta wengine. Ninachohisi, unanichanganya na mtu mwingine pengine anaetumia jina kama langu!
Ushauri wa bure tu! Usigombane na mwanamke unaehisi au unaejua anatembea na bf wako..charurana na huyohuyo mwanaume wako! Ukigombana na wadada si utawamaliza? tena wengine unawahisi tu kama mimi, hakuna ukweli. kwa msaada zaidi au kama huyo kidume ulimbana akaamua kukutajia jina kama la kwangu niandikie email(kombejack@yahoo.com). Mwanamke ndie anaejenga au kubomoa chochote kinachomhusu. MWANAMKE KUJIAMINI...

Comments

Anonymous said…
safi jackie ni uamuzi wa busara Mungu akubariki na akutafute maana maneno ya chini chini hayana maana pongezi.
Anonymous said…
safi jackie ni uamuzi wa busara Mungu akubariki na akutafute maana maneno ya chini chini hayana maana pongezi.
Anonymous said…
safi jackie ni uamuzi wa busara Mungu akubariki na akutafute maana maneno ya chini chini hayana maana pongezi.

Popular Posts