HAPPY BIRTHDAY SOPHIA KESSY....
Isherehekee siku yako kwa furaha zote mama manake kuna ambao walitamani kufika leo but Mungu akawahi kuwachukua kwa mapenzi yake!!
Happy Birthday Sophia Kessy aka PACHA...La Reine..Malkia..S.K Entertainment.. Am Sorry,,Am Glady...lol
Tunaisubiri party ya baadae..kwa picha na matukio ya shughuli nzima..usikose kutembelea hapa hapa JK Blog!!
Comments